MASKINI LULU ...HUU UJUMBE ALIO UANDIKA KWA AJILI YA MAREHEMU KANUMBA LAZIMA UKUTOE MACHOZI
bado Siamini kama mwaka wa pili unakatika bila kukuona
wala kukusikia baba, Ninaamini bado tupo nawe kiroho na ninaamini zaidi
nasfi yako huko ilipo
inasimama kunitetea na kunipigania. Inaweza
kuchukua miaka na miaka kukuelezea. You still live in me daddy and you
are dearly missed. R.I.P daddy yangu.
No comments:
Post a Comment