Mafikizolo kuwasili leo jijini Dar es Salaam
Kundi maarufu la muziki wa Kwaito la nchini Afrika kusini, Mafikizolo
linatarajia kuwasili leo jijini jijini Dar es Salaam kwa ajili ya onesho
moja tu linalotarajia kufanyika katika ukumbi wa Mlimani City, Jumamosi ya
April 5. Mafikizolo imekuwa na rekodi nzuri ya kushinda kwenye tuzo
mbalimbali za muziki
No comments:
Post a Comment