
Estelina Sanga ‘Linah’.
MWANDAFADA anayekimbiza ndani ya Bongo Fleva, Estelina Sanga ‘Linah’
amesema anakiri kuwa usagaji upo kwa mastaa lakini yeye hajawahi kushiriki.
Linah
alifunguka hilo alipokuwa akifanya mahojiani na paparazi wetu hivi
karibuni akasema: “Usagaji upo tena kwa mastaa wengi lakini kwa upande
wangu mimi sijawahi kufanya hicho kitu na wala sitegemei kujihusisha
No comments:
Post a Comment