14 April 2014

KAMA ULIPITWA NA PICHA ZA MAJERUHI WA MLIPUKO WA BOMUA ARUSHA UNAWEZA ZIONA HAPA

Hali ya sintofahamu iliyowakumba wakazi wa jiji la Arusha baada ya bomu kulipuka jana.
Majeruhi baada ya bomu kulipuka.
Kijana ambaye hakufahamika jina lake baada ya kupata majeraha makubwa mguuni.
Mmoja wa maeruhi akiwa hoi baada ya mlipuko.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname