30 April 2014

JIONEE MASTAA 11 WAKUBWA DUNIANI ENZI WAKIWA WATOTO WADOGO...


 Lionel Messi
Wengi kati yao sura zao hazijabadirika sana tangu kipindi chao cha utotoni lakini picha hizi zitakuonyesha kwamba wanamichezo hawa wameanza kucheza michezo yao tangu wakiwa watoto.
Kwenye picha hizi kuna watu kama Cristiano Ronaldo,Lebron James,Lewis Hamilton,Tiger Woods,Michael Owen na wengine.
 Ronaldinho
 Diego Maradona
 Lebron James
 Tiger Woods
 Serena and Venus Williams
 Christiano Ronaldo
 Neymar
 David Beckham
 Lewis Hamilton

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname