MWANAMA Mikel
Ruffinelli mkazi wa Los Angeles, Marekani, amedhihirisha kuwa ndiye
mwanamke mwenye ‘hips’ kubwa zaidi duniani akiwa na mzunguko wa zaidi ya
futi 8.
Mama huyu wa
watoto wanne amekuwa akipata shida kupitisha umbile lake la inchi 100
kwenye mlango na anahitaji nafasi ya watu wawili kwenye ndege.
MWANAMA
Mikel Ruffinelli mkazi wa Los Angeles, Marekani, amedhihirisha kuwa
ndiye mwanamke mwenye ‘hips’ kubwa zaidi duniani akiwa na mzunguko wa
zaidi ya futi 8.
Mama
huyu wa watoto wanne amekuwa akipata shida kupitisha umbile lake la
inchi 100 kwenye mlango na anahitaji nafasi ya watu wawili kwenye ndege.
Mikel
mwenye umri wa miaka 39 anaendesha magari makubwa kwa vile mwili wake
mwenye kilo 190 hauwezi kukaa kwenye magari madogo na anahitaji kiti
chenye uimara wa ziada nyumbani.
The
Sun la Uingereza linaandika kuwa bibie huyo aliyekuwa na kilo 63
utotoni anajiskia fahari kwa umbile lake hilo na hana mpango wa
kupunguza uzito, japo kuwa wakati mwingine anapata kero.
The
Sun la Uingereza linaandika kuwa bibie huyo aliyekuwa na kilo 63
utotoni anajiskia fahari kwa umbile lake hilo na hana mpango wa
kupunguza uzito, japo kuwa wakati mwingine anapata kero.
Anasema: “Popote napokwenda, kwa uzuri au ubaya, ‘hips’ zangu zimekuwa zikwashtua watu.
“Napokuwa mitaani nikitembea huwa naskia milio ya kupigwa picha kwa simu na kamera huku watu wengine wakinicheka.
“Baadhi ya watu wanadhani nimefanya upasuaji kuongeza figa langu, lakini hii ni halisi.
Nadhani ni matokeo ya kuzaa watoto wanne, lakini hips kubwa zipo kwenye familia yetu”.
Mama huyu wa
watoto wanne amekuwa akipata shida kupitisha umbile lake la inchi 100
kwenye mlango na anahitaji nafasi ya watu wawili kwenye ndege.
Mikel
mwenye umri wa miaka 39 anaendesha magari makubwa kwa vile mwili wake
mwenye kilo 190 hauwezi kukaa kwenye magari madogo na anahitaji kiti
chenye uimara wa ziada nyumbani.wameandika jamaa wa

No comments:
Post a Comment