HII NDIO ...VIDEO WALIOFANYA WAIMBAJI 19 KUTOKA AFRIKA, DIAMOND NA AY WAPO NDANI
Ile video waliyorekodi wasanii 19 kutoka bara la Africa kwenye kampeni ya kuhamasisha kilimo imetoka. Angalia jinsi wasanii wengi kutoka nchi za Africa walivyojumuika pamoja kutengeneza video hii wakiwemo A.Y na Diamond
No comments:
Post a Comment