16 April 2014

HATIMAYE SNURA AMWANIKA MCHUMBA WAKE HADHARANI..MCHEKI HAPA


Snura Mushi na Dvj Hunter wa Club Maisha Ya Mjini Mbea wakiwa katika Poz la maha..!

Kwa mujibu wa
mtu wa karibu aliozinasa picha hizo zilizopigwa huko mkoni Mbeya alisisitiza kwamba jina lake lisitajwe humu mtandaoni, Pia alizidikufunguka kwamba kabla hajakwanyua picha hizo alibahatika kusikia maneno ya Snura kama ifuatavyo: Mimi kwa huyu jamaa sina ujanja na kamwe sitosikia la mtu ng'o! Mmmh.. Penda sana Hunter...!
Jamaa aliishia hapo akasema alikuwa anapita tu!

Du! Hatari

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname