Kitoto kichanga kilichotelekezwa na wazazi wake kinyume cha sheria kikiwa Hospitali ya Taifa Muhimbili.
N hali ya kushangaza, lakini ndivyo ilivyo, baadhi ya watu wanasaka watoto lakini wengine wanawapata na kuwatupa.Kisa hiki kimetokea jijini Dar es Salaam hivi karibuni ambapo mtoto huyo wa mwaka mmoja sasa anayelelewa Hospitali ya Taifa Muhimbili, wazazi wake wamekutana na mkono wa sheria na kutupwa Gereza la Segerea baada ya kubainika kuwa, walimtupa mtoto huyo huku wakijua ni kinyume cha sheria.
Kwa mujibu wa chanzo chetu kutoka Idara ya Ustawi wa Jamii Muhimbili zinasema kuwa, wazazi hao ambao wametajwa kwa jina mojamoja, Peter na Happiness walikutana na kuishi kama mke na mume, baadaye mwanamke huyo alipata ujauzito na ulipotimiza miezi miwili, mwanaume huyo akaingia mitini.BOFYA KUSOMA ZAIDI
No comments:
Post a Comment