Jarida
la Washington Post nchini Marekani limeripoti kwamba askari watatu
wameachishwa kazi kwa muda na kurudishwa nyumbani ili uchunguzi
ufanyike. Askari
mmoja kati ya hao ambao wanaohusika na kumlinda rais Barack Obama
alikutwa amelewa pombe chakari kwenye hoteli moja huko Amsterdam ambapo
Obama alienda huko kwa ajili ya mkutano wa mambo ya Nuclear.Msemaji wa
idara ya upelelezi Marekani alikataa kutoa taarifa zaidi kuhusu tukio
hilo ingawa alisisitiza kuwa watatu hao wameachishwa kazi kwa muda
uchunguzi ukiendelea.Mwaka 2013 majasusi wawili waliondolewa katika
kikosi cha ulinzi cha Rais Obama kufuatia tuhuma za kuhusika na kashfa
ya ngono na utovu wa nidhamu.Mwaka 2012 majasusi kadhaa waliachishwa
kazi kufuatia madai kuwa walikodi makahaba walipokuwa mjini Cartagena
Colombia.26 March 2014
MLINZI WA BARACK OBAMA AMEACHISHWA KAZI KWA KOSA LA KULEWA CHAKARI KAZINI.
Jarida
la Washington Post nchini Marekani limeripoti kwamba askari watatu
wameachishwa kazi kwa muda na kurudishwa nyumbani ili uchunguzi
ufanyike. Askari
mmoja kati ya hao ambao wanaohusika na kumlinda rais Barack Obama
alikutwa amelewa pombe chakari kwenye hoteli moja huko Amsterdam ambapo
Obama alienda huko kwa ajili ya mkutano wa mambo ya Nuclear.Msemaji wa
idara ya upelelezi Marekani alikataa kutoa taarifa zaidi kuhusu tukio
hilo ingawa alisisitiza kuwa watatu hao wameachishwa kazi kwa muda
uchunguzi ukiendelea.Mwaka 2013 majasusi wawili waliondolewa katika
kikosi cha ulinzi cha Rais Obama kufuatia tuhuma za kuhusika na kashfa
ya ngono na utovu wa nidhamu.Mwaka 2012 majasusi kadhaa waliachishwa
kazi kufuatia madai kuwa walikodi makahaba walipokuwa mjini Cartagena
Colombia.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment