06 March 2014

Kuitwa Kwenye Usahili UDOM MACHI 2014

Chuo Kikuu cha Dodoma kinawatangazia waombaji wa kazi mbalimbali kuwa usahili wa kuandika utafanyika Jumamosi ya tarehe 8 Machi, 2014 na Jumapili ya tarehe 9 Machi, 2014. Usahili huu utafanyika kuanzia saa tatu asubuhi katika kumbi za mihadhara ya Skuli ya Sanaa na Lugha kama ifuatavyo: 

Jumamosi tarehe 8 Machi 2014 
1.                  Maafisa Rasilimali Watu na Tawala
2.                  Maafisa Mipango  
3.                  Madereva  
4.                  Wahudumu  
5.                  Makatibu Muhtasi  
6.                  Wahudumu wa Afya  

Jumapili tarehe 9 Machi 2014 
1.               Wahasibu Wasaidizi  
2.               Wakaguzi wa Ndani Wasaidizi  
3.               Watunza Kumbumbu Wasaidizi
4.               Wasimamizi wa Mifumo ya Kompyuta Mtandao  
5.               Wasimamizi wa Maabara 

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname