28 March 2014

ANGALIA PICHA MZEE AJALI MBAYA BAADA YA KUSHINDANA NA MWANAE..

The incident happened at the popular Les Deux Alpes ski resort in south-east France

Hii imetokea huko Ufarasa baada ya John Dowling (58) na mwanae Rob (23)kuanza kushindana kuserereka kwenye barafu, mchezo ambao upendwa sana nchini Ufaransa, Baba huyo na mwanae walitumia kiwanja cha barafu ambacho kilikua kinaandaliwa kwa ajili ya mashindano siku inayofata, huku ikiwa imewekwa mageti special ili watu wasipite kwa kuwa uwanja ulikiua kwenye maandalizi.

Rob Dowling took this video of the moment his father emerged from a horrifying ski crash in France covered in blood
Hapo ndipo alipo anguka na kujigonga kwenye Geti hilo la Chuma
He was moved away from the metal gate he crashed into and lay on the floor waiting to be airlifted to hospital

 Mr Dowling had to be airlifted to hospital where he was treated for three days before being released
Mtoto huyo aliweza kumpita baba yake, huku baba huyo akijaribu kuongeza mwendo ili amfikie mwanae kwa bahati mbaya akatereza vibaya na kuanguka na kujigonga kwenye geti na kumfanya damu nyingi kuanza kumtoka kichani kwake.

SOMA ZAIDI HAPA

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname