29 March 2014

Angalia Picha Mwanamke ashitakiwa kwa kumuua mwanae wa miaka 4 baada ya kuhisi ni 'shoga'

Mwanamke aliyetajwa kwa jina la Jessica Dutro, anakabiriwa na kesi ya mauaji huko Washington Marekani baada ya kutuhumiwa kuwa alimpiga mwanae wa miaka 4 hadi kumuua baada ya kuhisi kuwa atakuwa ‘shoga’.

Waendesha mashitaka walidai kuwa August 14, 2012 mama huyo aliwapiga vibaya watoto wake watatu, lakini kipigo kilikuwa kikali zaidi kwa mwanae aitwae Zachary Dutro- Boggess ambaye alimuudhi zaidi baada kuona kuwa anatabia za kishoga mapema akiwa mtoto.Baada ya kipigo kikali mtoto huyo alipelekwa hospitalini siku hiyo na kitengo cha dharura na kuwekwa kwenye mashine ya kumsaidia kupumua, hata hivyo baada ya siku mbili alipoteza maisha
.bofya hapa inaendelea

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname