Baada
ya picha hizo kutua mikononi mwa paparazi wetu, alimtafuta Nay wa
Mitego ambaye inafahamika na wengi kuwa mpenzi wake ni binti aitwaye
Siwema, alipopatikana aliumauma maneno lakini kwa upande wake Bozi, bila
hiyana alifunguka:
Emanuel Eribarik ‘Nay wa Mitego’ akiwa na Mbongo Muvi, Fatuma Ayubu ‘Bozi’
“Siwezi kubisha hata kidogo nampenda sana huyu mwanaume (Nay) hata aende wapi atarudi hapa, huyo Siwema hawezi kunikondesha, siwezi kumwacha huwa nalala kwake napika na kupakua,” alisema Bozi.


No comments:
Post a Comment