16 February 2014

MUIGIZAJI WA KIKE BONGO MOVIES AWASHANGAZA WATU KWA ALICHOKIFANYA JUKWAANI..!


'Yuster Nyakachara 

'MUIGIZAJI wa kike Bongo Movie's mwenye vipaji vingi kuliko muonekano wake, Mashabiki hupagawa sana na upana wa sanaa yake anapopanda jukwaani na kuvaa uhusika wa kudance katika Show zake huacha gumzo kwani kazi hio ya kucheza ngoma za utamaduni hajaianza leo wala jana, Kaianza siku njingi sana lakini habweteki ametumbuiza nje ya bara la Africa mara nyingi sana.

Uuuwiiiiii...! Hii kweli Valentaines Day..!


PICHA
hizi unazoziona hapa ndugu msomaji ni picha za jana katika Tamasha la (Sanaa Sana) na
Malaika Bend Jijini Dar Es Salaam, Dada huyo pamoja na kumiliki kampuni ya filamu iitwayo  EAGLE ENTERTIMENT lakini akipanda jukwaani ni balaa.. M/mungu abariki kipaji chake. 



No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname