23 February 2014

MMH..NAHISI NINA MIMBA BUT NAMUONEA HURUMA BOY WANGU BADO HANA KAZI JAMANI..!!NISAIDIENI..

Nimepata mimba kwakweli sitaki kuitoa ila namuonea huruma mpenzi wangu hana kazi na mimi pia bado hata sijamaliza chuo. wazazi wangu sasa hivi wananifikiria mimi tu sasa nikiwaletea na mtoto tena itakuwaje wakati mimi tu wananishindwa. Naombeni Ushauri Jaman.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname