16 February 2014

JEURI YA PESA...BRACELET YENYE THAMANI YA US DOLLA 2400 YATUA MIKONONI MWA BEYONCE FOR VALENTINE


 



Wanamziki wanaofanya vizuri katika anga la mziki nchini marekani lakin pia wakiwa baba na mama Jay pamoja na mkewe Beyonce,katika siku ya jana ya wapendanao Jay Z aliamua kumsupries mkewe kwa kumnunulia Bracelet yenye thamani ya dola za kimarekani $2400 sawa na Tsh 4,080,000 za kitanzania hii ni moja kati ya website maarufu sana nchini humo Tracori iliandika hivi 

''Made of intertwining silver and gold, the design represents two unique individuals uniting through a promise. Once the bracelet is fastened, only the key holder can unlock the promise. The connection chain links both parts of the bracelet and symbolizes that the bracelet is always connected

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname