05 February 2014

HUU NDO UTAJIRI WA MZEE MAJUTO....CHEKI NYUMBA NA MAGARI YAKE HAPA


 

Kwenye interview aliyofanya na Millard Ayo mzee huyu staa wa movie za vichekesho hapa Tanzania ambae mpaka sasa ameshaigiza movie zaidi ya 600, umri wake ukiwa miaka 65… alithibitisha kwamba anapokea mshahara wa
milioni 17 mpaka 20 kwa mwezi sasa hivi kutoka kampuni ya Steps anayofanya nayo kazi

Daladala za biashara anazomiliki Mzee Majuto ni tatu tu na anamiliki pia Noah ambayo ndio anaitumia kutembelea.

19 

18
16
14
13
10
6
2
9
3
4
5
17
12
11
15

Source: Millard Ayo

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname