18 February 2014

HICHI NDICHO KISA CHA MWANACHUO HUYU MWAKA WA KWANZA MCHEPUO WA ELIMU KUJINYONGA

Ghana-News500

 Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza wa Chuo cha Ualimu  cha Winneba, nchini Ghana, amejiua kwa kujinyonga mara baada ya jina lake kubandikwa kwenye ubao wa matangazo (notice board) kuwa amefeli masomo matatu.Jina la mwanafunzi huyo limehifadhiwa kwa sasa, ila inasemwa kuwa sababu ya kujinyoga kwake ni kutokana na kufeli masomo hayo matatu ambapo kungepelekea kufutwa kwake shule hapo.ANGALIA PICHA ZAIDI

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname