duniani watu wameumbwa tofauti tofauti
kabisa .. sio kwamba mwenyezi mungu amekosea la asha! ana makusudi yake
kabisaaa na kama wote tungeumbwa yunafanana pata picha ingekuwaje? jibu
ni moja tu kusingekuwa na maisha.... katika binadamu aliyeshangaza wengi
ni huyu ambaye ulimi wake ni mrefu kuliko binadamu wa kawaida... naomba
uchukue mda wako mdogo tu kumtizama akifanya yake hapa chini



No comments:
Post a Comment