Video ya kwanza imetoka ikimuonyesha Justin Bieber akiwa kizimbani baada ya kukamatwa na polisi kwa makosa matatu.
Makosa matatu ambayo JB alikamatwa nayo moja wapo lilikua ni kujaribu kukwepa polisi
wasimkamate na mengine kuendesha gari baada ya kutumia kilevi na pia leseni yake ilikua imepita muda wa matumizi.
Jaji wa kesi hiyo alitoa hukumu ya Justin Bieber kulipa dola 2500 ambapo dola 1000 kwa kujaribu kuwakwepa polisi,1000 kwa driving under influence na 500 kwa leseni iliyokwisha muda wake.
Justin Bieber akiwapungia mkono mashabiki wake baada ya kutoka jelacredit : millard ayo

No comments:
Post a Comment