07 January 2014

SIRI YAFICHUKA ALIYEMCHOMA JACKY CLIFF KWA POLISI WA MACAU/CHINA MPAKA KUNASWA NA UNGA LIVE HUYU HAPA!!

.
  • Pacolocal Mochaa Huu sasa ni uzushi.
    Macau wame install body scan na kuongeza nyingine ambayo ni more advanced. Ya kwanza ilikuwa 2009 na the latest one 2012. Nimepita pale 2013 july ukiwa mweusi wana ku mind ile mbaya. Mimi nimepita na wenzangu 8 wote wazungu pamoja na kuwa na escot ya agency nikavutwa kando kuhojiwa japokuwa nilikuwa transit.
    Wamezaji tatizo hawafanyi research kule wanakotumwa. Huwa wanakurupuka tuu wakizani ukiwa transit unakuwa untouchables.
    Wengine wanadangayana kila safari wabadilisha passport lakini hawanui vidole havibadiliki na vile vile uki scan passport inaonyesha kila kitu ulikotoka na flight zote ulizopanda kutumia hiyo passport. Na waki scan vidole inaonyesha ulishatumia passport nyingine na sasa una mpya ndio kabisa wanakuwa na mashaka zaidi na trip yako. Watu muuelewe unapocheck in wana I scan passport yako na zile details zinakuwa available kwa IATA na security agency around the world.
    Ujanja wa juujuu bila kuwa na idea jinsi usafiri wa ndege unavyo angaliwa, mtakuwa mnatusua kwa JK airport lakini kwa wenzetu wengi mtaisha.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname