Diamond alidondoka kwenye Exclusive interview ya XXL ya Clouds FM na
kuyajibu maswali ya Raymond Mshana ambae ndio alikua anaifanya XXL kwa
siku hii ya January 6 2014.
Kwenye show ya Xmas Diamond alifanya show yake kwa ajili ya watoto
Leaders Dar es salaam ambapo baadae vyombo vya habari vilimkariri
akitangaza kwamba Wema Sepetu ndio mpenzi wake wa sasa.
Kwenye XXL Diamond amekwepa kulijibu hilo swali ila akamzungumzia Wema
na uwepo wake pamoja na movie yake ambayo wamecheza pamoja na
inatarajiwa kutoka mwaka huuhuu wa 2014.
Maelezo zaidi kuhusu alichosema yako kwenye hii video ya dakika tatu hapa chini.
No comments:
Post a Comment