07 January 2014

PICHA: MTU ALIYEKUWA MNENE NA MWENYE UZITO MKUBWA DUNIANI.......ni mnene sio mchezo!!hatari nyama kuanguka..


Paul-Mason mwenye miaka53, kabla ya kupunguzwa unene kwa upasuaji maalum Hapo Juu...

Paul-Mason, baada ya kufanyiwa upasuaji

Baada ya kufanyiwa upasuaji huo alitakiwa kufanyiwa upasuaji wa kupunguza manyama yaliyozidi.

Paul Mason anamchumba wake wa Kimarekani Rebecca Fountain tangu karibia miaka ya 1980                                                                       credit=Tznews

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname