Alichokisema Jaguar zaidi ni
kwamba kwaani hashindani na Prezzo katika ununuaji wa magari, pia
alizungumza na kusema kuwa gari aliyonunua Prezzo inaingia mara 16 ya
gari ya Jaguar hivyo haoni sababu ya kuifananisha gari yake na Prezoo.
Mahasimu hawa mara kadhaa waliingia kwenye headlines na Jaguar kwa malumbano mbalimbali ikiwemo kutambiana muziki, mali na uwezo wa kifedha.
Gari ya Jaguar Hii Hapa Chini
Gari
la Jaguar lenye thamani ya shilingi Milioni 16 za Kenya ambalo liko
mwisho wa hii post, aliiingia nalo kwenye uwanja pembeni kabisa ya
jukwaa alipokwenda kufanya show ambapo alishuka kwenye gari wakati time
yake ya kupanda jukwaani ilipofika, alikua kalipaki karibu kabisa na
ngazi za kupandia jukwaani.
No comments:
Post a Comment