CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Ziwa kimesema hakitaki kumuona Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe kwa kuwa ni msaliti.
Pia kimewatahadharisha viongozi wa Chadema Kanda ya Ziwa kwamba
yeyote atakayeonekana kuwa karibu na Zitto katika shughuli za chama au kutoa siri, atashughulikia haraka na kuwekwa kwenye kundi la wasaliti.
Source: Rai
No comments:
Post a Comment