10 January 2014

ILE FILAMU KALI MAJUTO SI HASARA KUTOKA SIKU ZA KARIBUNI


Madam Yuster akiongea na mtandao wetu siku ya leo amesema kwamba Filamu ya MAJUTO SI HASARA ipo katika hatua za mwisho kuachiwa kwani kwa sasa imeshafika kwa wasambazaji wa steps entertainment.Akazidi kuongeza kwamba wapo wanamalizia mambo madogo madogo ili siku itakapoachiwa rasmi  kusijitokeze vitu vya kusababisha kukwama kwa usambazaji,Toa machoo na Tega sikiooo mda si mrefu utapata uhondo.
Madam Yuster toka Eagle Entertainment

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname