21 January 2014

HII NDO PICHA ILIYO SABABISHA VIDEO YA JUX KUFUNGIWA...ISIPIGWE KWENYE VITUO MBALIMBALI VYA TV



VIDEO YA JUX YAFUNGIWA KUPIGWA TV STATION ZA BONGO KISA VIPANDE HIVI VISIVYO NA MAADILI MAZURI. CHEKI PICHA HAPA



Jux 1Ni mara chache kusikia video flani ya bongofleva haichezwi kwenye vituo vya TV kwa sababu ya wamiliki wa vituo hivyo kuona haina maadili hivyo haiwezi kuruhusiwa kuonyeshwa kwa mamilioni ya Watanzania.


Video ya Jux toka mwaka 2013 mwishonimwishoni stori zilikua zinazunguka kwamba hii video imefungiwa kwenye vituo vya TV za bongo sababu picha zinazoonekana ndani yake zimezidisha kuvuka mipaka ya kimaadili.
credit-mirraldayo

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname