MKONGWE katika anga la filamu za Kibongo, Single Mtambalike ‘Richie’ amekiri kutumia vibaya madaraka wakati wa uongozi wake kama mweka hazina wa Klabu ya Bongo Movie msimu uliopita.
Single Mtambalike ‘Richie’.
Akizungumza na mwandishi wetu hivi karibuni katika Viwanja vya
Leaders Club, Kinondoni jijini Dar, Richie alisema kulikuwa na mfumo
mbovu wa jinsi ya kutumia pesa“Kuna mazuri tulifanya pia mabaya yapo hususan mfumo mbovu wa jinsi
ya kutumia pesa, kiongozi yeyote aliweza kuchukua pesa bila kuhojiwa na
hata mimi nilikuwa natumia vibaya,” alisema Richie.

No comments:
Post a Comment