WANAFUNZI WANNE WAFARIKI DUNIA KWA KUGONGWA GARI WAKATI WAKIKIMBIA MCHAKAMCHAKA HUKO MTWARA.
Wanafunzi wanne Wa shule ya sekondari Mustapha Sabodo mjini Mtwara
wamekufa na wengine zaidi ya 20 kujeruhiwa baada ya kugongwa na gari
aina ya Benz wakiwa kwenye mchakamchaka asubuhi ya leo.

No comments:
Post a Comment