22 December 2013

TUJIFUNZE NINI?? MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI APOST PICHA ZAKE ZA NUSU UTUPU MTANDAONI....WAWEZA ZITAZAMA HAPA..(+18 NAKUENDELEA)

''Maheeda'' gospel Singer.
NI matumaini yangu kwamba watu wangu wa nguvu mmechoka kila siku kutazama picha za makahaba na mlishajenga imani kwamba wale hutupia picha hizo chafu katika maadili ya muafrika kutokana na tabia zao na ukosefu wa hekima,

Haya sasa leo huyu muimbaji wa muziki wa injili anaetambulika kwa jina 'Maheeda' kutoka Nigeria anatufunza nini na picha hizi alizopiga na kuzitupia mitandaoni?

Alafu cha kushangaza watu wengine wanalalamika eti bloggers wanadhalilisha dada zetu? Hivi kwa mfano dada huyu anadhaliliswa au anajidhalilisha?'

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname