07 November 2013

UKATILI GANI HUU....Ukiwa nacho USIMDHARAU asiye nacho





Wadau tukumbuke hali ya maisha huweza kubadilika wakati wowote.

  Leo waweza kuwa tajiri lakini kesho ukawa masikini.Endapo unaamini hayo yanaweza tokea wakati wowote, basi huna budi kumuheshimu yule asiye
nacho, ulicho nacho wewe sababu wakati wowote unaweza ukawa katika hali aliyonayo mwenzako

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname