21 November 2013

PICHA ZA MAMA ANAYEMTUMIA MTOTO WAKE WA MIAKA 8 KUPATA PESA ZA MATUMIZI

Ili kupata kujua yote na mkasa mzima usikose kutazama Joyce Kiria Wanawake Live leo saa tatu kamili usiku EATV Pekee!!!!!
Huyu ndio mama ambaye amemuajiri mtoto wa miaka 8 kama mfanyakazi wake wa ndani.
Nikiwa kituo cha polisi, huyu mama akiandikisha maelezo yake.
Mama Mzazi wa mtoto Loveness, hapa ni nyumbani kwake Mororgoro.
Joyce Kiria Wanawake Live, Mjini mpaka Vijijini.. Katika kijiji cha Kiloka Morogoro.
Nikiwa nafanya mahojiano na Diwani wa eneo hilo.CHANZO JOYCE KIRIA

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname