21 November 2013

HUYU NDO MUIGIZAJI WA KIKE KUTOKA NIGERIA ALIYEBUNI VAZI LA KIJESHI KULITENGEZA MTINDO WA MAPAJA NJE...! MMH.. BALAA




MUIGIZJI wa kike kutoka Nigeria Nollywood, ''Chika Ike'' atupia picha inayomuonyesha akiwa amevalia gwanda la Jeshi lililoshonwa kwa mtindo wa aina yake yani Vipaja nje nje...!!! 


Huwezi amini kama huyo hapo juu pichani ndio yeye huyu katika picha hii tunayoizungumzia aliyoitupia katika ukurasa wake wa
Instagram..!

Ama kweli maisha ni safari ndefu na binadamu tunatoka mbali cha msingi uvumilivu katika maisha mafanikio huja wakati wowote.

masainyotambofu.com

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname