21 November 2013

MSICHANA ALIYEUZA BIKRA YAKE PAUNI 485,000, SASA AAMUA KUINADI UPYA...

Catarina Migliorini.




Mwanafunzi mmoja nchini Brazil ambaye aliuza bikra yake kwa Pauni za Uingereza 485,000 bado anaendelea kuinadi tena kwenye mnada mtandaoni, akidai mapatano ya awali hayakuwahi kukamilika.Catarina Migliorini, miaka 21, anauza 'ubikira' yake kwa wanunuzi kwa kiasi cha kuanzia Pauni 62,000, lakini anasema anatumaini kuuza walau kwa Pauni 930,000 (sawa na Dola na Marekani milioni 1.5).Mnada wa ubikira' wa Catarina awali ulioneshwa kwenye filamu ya Australia, lakini alidai alitapeliwa na mtengenezaji filamu Justin Sisely, na kwamba hakuwahi kupewa pesa hizo ambazo mteja kutoka Japan alilipa kwa ajili yake Oktoba mwaka jana.SOMA ZAIDI

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname