MSIBAAA...Mke wa Msanii Dk. John Wa WAGOSI WA KAYA afariki dunia hii Leo..!!
Habari zilizotufikia ni kua mke wa DR John mmoja wa wasanii wanaounda
kundi la Wagosi wa kaya amefariki dunia siku ya leo. Tunaendelea
kutafuta mawasiliano na mwakilishi wetu ambaye atatuunganisha na DR John
ili tuweze kuwaletea habari kamili. Bongoclan inatoa pole sana kwa
familia ya DR John.
No comments:
Post a Comment