Baada ya kuacha
historia kwenye jukwaa la MTV VMAs kwa ku-twerk mwezi August, Miley Cyrus
amefanya vituko vingine kwenye jukwaa la MTV VMAs Jumapili (November
10) baada kuvuta marijuana wakati akipokea tuzo yake ya Video bora
ya mwaka ya wimbo wake ‘Wrecking Ball’.
Akiwa ndani ya mavazi meupe, Miley Cyrus alipanda jukwaani akapokea tuzo yake
na kusema “I couldn’t fit this award in my bag, but I did find this..” Hapo
akatoa marijuana kwenye mkoba wake akapiga puff moja, akamalizia “So thank you
guys very much.”



No comments:
Post a Comment