anampenda sana Chid kutokana na ubunifu wake kazini na alimpa uhuru wa kufanya kila kitu ikiwemo kumuachia magari ambayo yeye alikuwa kama kiongozi hivyo alikuwa na uhuru nayo sana na alikwenda kila mahara " Kilisema chanzo hicho ambacho ni ndugu na Wema Aidha habari zaidi ziliendelea kusema baada ya kupata taarifa hzio aliamua mkutimua Chid kwenye kampuni yake ili kurinda heshima ya kampuni hiyo ambapo Chid na vijana walikuwa wakitumia gari hiyo kung'olea watoto wakali" Unajuwa Wema ana mashabidi sana hata ile gari wakati mwingine alikuwa inavunja hata sheria za barabarani bila kufanywa chochote hii ilitokana na upendo wa mashabiki kwa Wema na wasichana wengi walikuwa wakiiona ile gari basi wnaingia wenyewe kwenye gari wakidhani ndani yuko Wema hivyo ilikuwa ni nafasi nzuri kwa Chid na wenzake kuwamaliza wasichana hao" Alisema dada huyo Aidha baada ya taarifa hizo XDEEJAYZ ilivuta waya kwa kumcheki hewani Chid na Wema ili kuthibitisha madai hayo ama kuna jingine lililopelekea kutimuana kwa bahati mbaya watu hao hawakupatikana kuzungumzia hilo hadi habari hii inaruka hewani!
source-xdeejayz
No comments:
Post a Comment