15 November 2013

INATISHA: HIVI NDIVYO WANANCHI WA SOUTH AFRIKA WANAVYO WAFANYA MASHOGA............CHEKI HAPA



Angalia video hapo chini kisha tuambie katika maoni, JE NI SAHIHI MASHOGA KUPIGWA KIBERITI??/?

Nimeinyaka hii video na nafikiri ni vizuri kushare  nanyi wadau wangu wa PAPARAZI kupata mawazo yenu juu ya hili swala la mashoga maana inaenea kwa kasi sana duniani!!!

Hili janga limetokea south africa miaka 2 iliyopita......Nimeliweka hapa kwa makusudi leo kwa sababu nimeguswa kwa kupigwa huyu SHOGA na mwishowe kuchomwa moto kwa sababu ya USHOGA.

 According to reports (mashuhuda), the mob claimed that the man is H*mos*xual and does not deserve to live!("shoga hastaili kishi duniani"...mashuhuda walisema hivyo)
KWA KUWA KILA MMOJA ANA MAWAZO/FIKRA ZAKE ZA KIPEKEE....

NDUGU WASOMAJI,,,,,
JE???  ADHABU ALIYOPEWA  NI SAHIHI???

Chanzo: PAPARAZI BLOG

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname