29 October 2013

UWOYA ANUNUA GARI JIPYAAAAAAAAAAAAAAA, NI RANGE ROVER SPORT. ICHEKI HAPA



clip_image002STAA wa tasnia ya filamu hapa Bongo, Irene Uwoya ameuanika mkoko wake mpya Range Rover.clip_image002[6]Kupitia mtandao wa instagram Uwoya alipost picha za gari hilo huku akiandika… I don't care… Watasubiri sanaaaa…. My bby.clip_image002[8]Huku watu wakicoment kwa kumpongeza kuwa huwa anaongea kwa vitendo na siyo…
SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname