21 October 2013

RIHANNA AFUKUZWA FALME ZA KIARABU ..BAADA YA KUPIGA PICHA ZISIZO FAA

Mwimbaji Rihanna ametakiwa kuondoka katika msikiti mkubwa katika Falme za Kiarabu, baada ya kupiga picha ambazo mamlaka za huko zinasema 'hazifai'. Alikwenda katika msikiti wa Sheikh Zayed Grand, uliopo Abu Dhabi.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname