21 October 2013

MAJAMBAZI YAUA MTU MMOJA NA KUJERUHI WAKATI WA TUKIO LA UPORAJI WA FEDHA MKOANI SINGIDA.

MTU mmoja amefariki dunia na mungine kujeruhiwa kwa kupigwa na risasi kifuani wakati wa tukio la uporaji wa fedha wakitokea katika mnada katika wilaya ya Manyoni mkoani Singida.

SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO


No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname