HUYU NDO MWAMUZI AINGIAYE NA PANGA UWANJANI...ANAITWA KIPUNJE
Mwamuzi Kipunje akijiandaa na mechi
msome katika Mwanaspoti la leo aisee....huwa anajiandaa na Kadi
nyekundu, kadi ya njano, Panga, shoka.....sasa wewe sogea ujifanye una
hasira unamlalamikia...ndo utajua shughuli yake!!!
No comments:
Post a Comment