Ikiwa
hii ni mara ya 35 mfululizo kufanya jaribio kama hili na kwa jumla ya
hesabu, ameweza kukaa ndani ya bahari kwa masaa 52, dakika 54, na
sekunde 18.6, na aliweza kutoka mwenyewe mpaka beach kabla ya kuishiwa
nguvu kabisa.
Safari ya mwanamama huyu imekuwa na umbali wa jumla ya maili 110 sawa na kilometa 180.Safari zote ambazo mwanamama huyu amekuwa akijaribu kuvuka bahari amekuwa akipata changamoto kama vile kushambuliwa na samaki wakali wa baharini na mambo mengi ya kufanana na hayo lakini hakukata tamaa kujaribu tena na tena na safari hii amefanikiwa bila kutumia vifaa vya kujikinga.
Mwanamama
huyu amesema kuwa amejifunza kuwa katika safari kufuatilia kutimiza
ndoto zako, usikate tamaa hata siku moja, na hakuna swala la kizuizi cha
umri katika kufuatilia ndoto zako.
No comments:
Post a Comment