MWANAMKE ABAKWA NA KUCHOMEKWA PANGA SEHEMU ZA SIRI
Ukatili dhidi ya wanawake umeendelea kushika kasi ya ajabu katika bara la Afrika.....
Ukatili
huo unajidhirisha baada ya ongezeko kubwa la matukio ya
ubakaji yanayoambatana na mauaji ya kikatili kama njia mojawapo
ya kuficha ushahidi.
Wiki
hii mitandao ya nchini Ghana imeripoti juu la tukio la
mwanamke mmoja aliyebakwa na kuuawa kikatili kwa kuchomwa kisu
tumboni na sehemu za siri
No comments:
Post a Comment