18 September 2013

HUYU NDO SHOGA MSTAAFU AAMUA KUOKOKA!!

Kila kitu kina mwanzo na mwisho wake shoga ameamua
kumrudia Mungu na kuachana na mambo ya ushoga,kwa
jina la zamani alikuwa anajulikana kama aunt Asu.
alishawahi kuolewa na kuishi kinyumba na wanaume zaidi


ya watano,
mambo hayo aliyaanza tangu alipokuwa mdogo ambapo
alikuwa anapenda sana kuvaa nguo za kike na kufanya
shughuli mbali,mbali ambazo wanafanya wanawake,
Alopofikisha umri wa miaka 13 kazi rasmi ikaanza na
akawa anafanya vitendo vya ushoga,alitokea Kigoma na
akaamua kuhamia hapa jijini na kuendelea na mambo
yake,
lakini kila jambo lina mwanzo na mwisho wake hatimae
ameamua kuokoka na kumrudia mungu na sasa
amebatizwa na kuachana na mambo ya kishetani japo
amepitia mitihani mingi sana ya dunia,
jina lake kwa sasa ni Amos na siyo aunt Asu kama
ambavyo alikuwa akifahamika na wengi .embu angalia
jinsi alivyokuwa kipindi ambacho alikuwa shoga na mavazi
yake aliyokuwa akivaa

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname