HAYA NDO MAJIMBO YA UBUNGE WALIYO ANDALIWA HAWA WASANII NA CHAMA CHA CHADEMA MWAKA 2015
Wasanii maarufu wahusisha na CHADEMA kugombea Ubunge 2015
Tetesi ni kuwa:
- Judith Wambura (Lady Jay Dee) anaandaliwa jimbo moja Musoma,
- Selemani Msindi (Afande Sele) anaandaliwa jimbo la Morogoro Mjini
- Fredy Maliki (Mkoloni) anaandaliwa jimbo moja mkoani Tanga.
- Jacob Steven (JB) anaandaliwa jimbo moja la jijini Dar es salaam.
Inasemekani ni kutokana na ushawishi wa wabunge vijana Halima Mdee, Zitto Kabwe, Joseph Mbilinyi na John Mnyika
No comments:
Post a Comment