06 September 2013

Breaking Newzzz....Wabunge wa upinzani watoka nje tena kwa kupuuzwa!


Wabunge zaidi ya 20 walisimama kwa mujibu wa sheria lakini Jenista Muhagama akaandika majina na kutowapa nafasi, akitaraji kuwapa nafasi mwishoni! Cha ajabu hajui wanataka kuzungumzia nini. Wametoka nje ya ukumbi. Mbunge wa CUF mwanamama
Mwituka na John M. Shibuda wa CHADEMA, Dr. Augustine Lyatonga Mrema wabaki ukumbini

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname