19 August 2013

TAHADHARI KWA WANAWAKE! OGOPA MAPENZI YA KICHAWI


Habari  za   leo  THE CHOICE BLOG, ninaitwa  JINA LINAHIFADHIWA  (  Mama  Jeska)...Nimekuwa  muhanga  wa  uchawi  wa  mapenzi, yaani  nilienda  kwa  mganga  kutafuta  dawa  ya  mapenzi  ili  nimtulize  mwanaume  wangu, kinyume  chake  dawa  imekuwa  na  nguvu  sana  kiasi  yule  mwanaume  amekuwa  kama  zezeta. Ninaandika  waraka  huu   ili  kutoa  onyo  kwa  wanawake  wenzangu  ambao  wanaendekeza  mapenzi   ya 
kichawi. Nitashukuru  sana  endapo  utauchapisha  waraka  wangu  kwenye  blogu  yako, na  ikiwezekana  uusambaze  kwenye  blogu zingine  pia, ili wanawake  wenzangu  wajifunze  (  Naomba, ufiche  email  yangu  na  jina  langu  halisi, Jina  la  Mama  Jesca  halina  shida, linaweza  kutumika  )

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname