SHILOLE AAMBULIA MATUSI BAADA YA KUANIKA TUMBO LAKE MBELE ZA WATU......!!
Msanii
wa filamu za Kibongo,na mwanamuziki wa Bongo Fleva Zuwena
Mohamed‘Shilole’amenangwa kwenye mtandao wa instagram baada ya kupost
picha akiwa na madansa wake huku wakiacha matumbo yao wazi.
No comments:
Post a Comment